KISWAHILI STANDRD FIVE TEACHER’S GUIDE TIE BOOK
Read Full Book and DOWNLOAD Free PDF KISWAHILI STANDRD FIVE TEACHER’S GUIDE TIE BOOK
Kiongozi hiki cha mwalimu cha Kiswahili Darasa la Tano nı mwendelezo wa kiongozi cha mwalimu cha somo la Kiswahili Darasa la Nne. Lengo kuu la kiongozi hiki ni kumpa mwalimu mbinu na
maarifa ya kufundisha somo la Kiswahili katika Darasa la Tano.
Katika kiwango hiki, mwanafunzi anatakiwa aweze kumudu vizuri stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika Kiswahili katika miktadha mbalimbali.




































Leave a Reply